UVCCM Jimbo la Ilala watoa zawadi kwa watoto wenye matatizo ya moyo
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jimbo la Ilala Boaz Stanton akimkabidhi
Mkuu wa Kitengo cha Ustawi wa Jamii wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha
Salum zawadi mbalimbali kwa ajili ya watoto waliolazwa katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kata ya Mchikichini Anna Msala akimkabidhi zawadi Monica Mayunga ambaye mtoto wake anatibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati viongozi hao wa UVCCM jimbo la Ilala walipotembelea JKCI leo kwa ajili ya kutoa zawadi kwa watoto waliolazwa katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kata ya Upanga Magharibi Salma Ishaq akimkabidhi zawadi Ester Yohana kwa ajili ya mtoto wake aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati viongozi hao wa UVCCM jimbo la Ilala walipotembelea JKCI leo kwa ajili ya kutoa zawadi kwa watoto waliolazwa katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
Katibu Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kata ya Gerezani Bahvii Sarjity akitoa zawadi kwa Jamila Kibwana kwa ajili ya mtoto wake aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati viongozi hao wa UVCCM jimbo la Ilala walipotembelea JKCI leo kwa ajili ya kutoa zawadi kwa watoto waliolazwa katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jimbo la Ilala wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kuwakabidhi zawadi mbalimbali kwa ajili ya watoto waliolazwa katika Taasisi hiyo pamoja na walezi wao wanaowauguza.
Comments
Post a Comment