Wapata elimu ya kujikinga na magonjwa ya moyo


Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimpa ushauri mara baada ya kupima moyo mwananchi aliyejitokeza wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha.

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dickson Minja akimpima shinikizo la damu Kamishna wa kazi msaidizi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Andrew Mwalwisi wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akiwafundisha namna moyo unavyofanya kazi wananchi waliotembelea banda la taasisi hiyo wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi kwenye viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha.

Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha.

 Picha na: JKCI
********************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari