Posts

Maafisa wauguzi wanaohudhuria mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharula na mahututi (Critical Care Emergence) yanayotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wajifunza namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa

Image
  Maafisa wauguzi wanaohudhuria mafunzo ya wiki 27 ya kuwahudumia wagonjwa wa dharula na mahututi (Critical Care Emergence) yanayotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam wakijifunza kwa vitendo namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa  mtu mzima. Mafunzo hayo ya namna ya kutoa huduma hiyo yalitolewa na wataalamu kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergence Medicine Services Academy – EMSA). Maafisa wauguzi wanaohudhuria mafunzo ya wiki 27 ya kuwahudumia wagonjwa wa dharula na mahututi (Critical Care Emergence) yanayotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam wakijifunza namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa    mtoto. Mafunzo hayo ya namna ya kutoa huduma hiyo yalitolewa na wataalamu kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergence Medicine Services Academy – EMSA). Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergence Medicine Services Academ...

Nafasi ya mwanamke katika kupambana na magonjwa yasiyoambukiza

Image

Kuelekea siku ya Wanawake Duniani Wanawake wa JKCI wawafanyia upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo Wanawake wa BAPS Charity

Image
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Happy Sanga akimpima uzito, urefu na uwiano wa urefu na uzito (BMI) mwanamke kutoka BAPS Charity wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS Charity kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam  Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Morine Daniel akimpima wingi wa sukari mwilini mwanamke kutoka BAPS Charity wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS Charity kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Atu Ulimboka akimpima mapigo ya moyo mwanamke kutoka BAPS Charity wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS Charity kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya m...

Serikali yaombwa kuyaingiza magonjwa yasiyoambukiza katika bima ya afya kwa watu wote

Image
Katibu wa Shirikisho la Vyama vya magonjwa yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA) Prof. Kaushik Ramaiya akiwasilisha mada kuhusu ukubwa wa tatizo la magonjwa yasiyoambukiza wakati wa uzinduzi wa mkakati wa utetezi juu ya bima ya afya kwa watu wote inayojumuisha magonjwa yasiyoambukiza uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliandaliwa na Shirikisho la Vyama vya magonjwa yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA). Katibu wa Shirikisho la Vyama vya magonjwa yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA) Prof. Kaushik Ramaiya akizungumza na wadau wa afya walioshiriki katika uzinduzi wa mkakati wa bima ya afya kwa wote inayojumuisha magonjwa yasiyoambukiza uliofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam. Walioshiriki katika uzinduzi huo ni wadau mbalimbali  wakiwemo wizara ya Afya, wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI, Kifua Kikuu, Dawa za kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza, Kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya ...

Watu 26 kati ya 100 wana tatizo la ugonjwa wa shinikizo la juu la damu nchini

Image
Amina Mollel mkazi wa Arusha ambaye anaishi na ugonjwa wa saratani ya kizazi na Virusi vya UKIMWI akieleza jinsi anavyoishi na magonjwa hayo wakati wa  mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuyafahamu magonjwa yasiyoambukiza yaliyoandaliwa kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI, Kifua kikuu, madawa ya kulevya na magonjwa yasiyoambukiza, watu wanaoishi na magonjwa hayo na wahariri wa vyombo vya habari. Washiriki 64 walihudhuria mafunzo hayo ya  siku mbili yaliandaliwa na  Wizara ya Afya kupitia  Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyoambukiza Tanzania  (TANCDA)  yaliyofanyika katika Hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam.  Prof. Beatus Kundi akielezea  andiko la mkakati wa utetezi juu ya masuala ya lishe na kushughulisha mwili katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuyafahamu magonjwa yasiyoambukiza yaliyoandaliwa kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI, Kifua kikuu, madawa ya kulevya na magonjwa yasiyoambukiza, ...

Wanawake watakiwa kuandaa mlo bora ili kuzikinga familia zao na magonjwa yasiyoambukiza

Image
Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kuyafahamu magonjwa yasiyoambukiza ambao ni wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI, Kifua kikuu, madawa za kulevya na magonjwa yasiyoambukiza, watu wanaoishi na magonjwa hayo na wahariri wa vyombo vya habari wakifuatilia mada ya umuhimu wa kufanya mazoezi iliyokuwa inatolewa kwenye mafunzo hayo yanayofanyika katika Ukumbi wa Protea jijini Dar es Salaam. Mfunzo hayo ya  siku mbili yameandaliwa na Wizara ya Afya kupitia  Shirikisho la Vyama vya Magonjwa yasiyoambukiza Tanzania  (TANCDA). Mkurugenzi Msaidizi huduma za lishe kutoka Wizara ya Afya Dkt. Grace Moshi akiwasilisha mada kuhusu lishe bora inavyoweza kuwakinga watu na magonjwa yasiyoambukiza kwa washiriki wa mafunzo ya kujenga uwezo wa kuyafahamu magonjwa hayo  ambao ni wajumbe wa kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya UKIMWI, Kifua kikuu, madawa za kulevya na magonjwa yasiyoambukiza, watu wanaoishi na magonjwa hayo na wahariri wa vyombo vya habari ...

Afya ya akili inatupa uwezo wa kufurahia maisha kwenye viwango tofauti

Image