Posts

Upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wilaya ya Handeni mkoani Pwani

Image
  Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Joyce Manyama akimpima kiwango cha Oksijeni mwilini mwananchi aliyefika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kupima afya ya moyo wake wakati wa kambi maalumu ya tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uchunguzi na matibabu ya moyo kwa wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanganyika. ***************************************************************************************************************************************************************************************************** Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI ) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Taasisi ya Marafiki wa Maendeleo Handeni (MMAHA) tutatoa huduma za tiba mkoba zijulikanazo kwa jina la Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services kwa kufanya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wananchi wa Wilaya ya Handeni iliyopo mkoani Tanga.   Upimaji huu utafanyika bila malipo yoyote yale kwa wa...

Dkt. Kisenge : Wasanii jitokezeni kupima moyo

Image
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana akimkabidhi jarida la baraza hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge alipomtembelea ofisini kwake leo kwaajili ya kuzungumza na  waandishi wa habari kuhusu huduma ya upimaji na matibabu ya moyo bila malipo itakayotolewa  kwa wasanii. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Da es Salaam kuhusu huduma ya upimaji na matibabu ya moyo bila malipo itakayotolewa  kwa wasanii kwa mwezi wa Desemba 2024 na  Januari 2025 katika kliniki ya Taasisi hiyo iliyopo Kawe. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Kedmon Mapana, Kaimu Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Gervas Kasiga na viongozi wa vyama vya wasanii kabla ya kuanza kwa mkutano kati yao...

Watu 182 wajitokeza kupima moyo maadhimisho siku ya Uhuru wa Tanganyika

Image
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt. Tulizo Shemu akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati wa kambi maalumu ya tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uchunguzi na matibabu ya moyo kwa wananchi wakati wa  maadhimisho ya   siku ya Uhuru wa Tanganyika. Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Joyce Manyama akimpima kiwango cha Oksijeni mwilini mwananchi aliyefika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kupima afya ya moyo wake wakati wa kambi maalumu ya tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uchunguzi na matibabu ya moyo kwa wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanganyika. Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Mlagwa Yango akizungumza na mwananchi aliyefika katika Taasisi hiyo leo kwaajili ya kupima afya ya moyo wake wakati wa kambi maalumu ya tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia ...

Upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo bila malipo tarehe 09/12/2024

Image
  Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Eva Wakuganda akimfanyia kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) mtoto aliyefika katika Kliniki ya JKCI iliyopo Kawe jijini Dar es Salaam kwaajili ya kupata huduma za upimaji wa moyo. ********************************************************************************************************************************************************************************************************************* Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 09/12/2024 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group tutatoa huduma za tiba mkoba zijulikanazo  kwa  jina la Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services kwa kufanya   upimaji na matibabu ya moyo kwa wananchi. Upimaji huu utafanyika bila malipo yoyote yale kwa watoto na watu wazima tarehe 09/12/2024 kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa 10 kamili...

Gambia kushirikiana na JKCI tiba ya matibabu ya moyo

Image
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akiwatembeza katika baadhi ya maeneo ya Taasisi hiyo viongozi kutoka  Wizara ya Afya na wengine kutoka Taasisi ya Bima ya Afya ya Gambia walipotembelea taasisi hiyo kwaajili ya kujifunza na kuona uwekezaji uliowekwa na Serikali leo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Ubora wa Huduma wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naiz Majani akiwaelezea namna ambavyo huduma zinatolewa kwa wagonjwa viongozi kutoka  Wizara ya Afya na wengine kutoka Taasisi ya Bima ya Afya ya Gambia walipotembelea taasisi hiyo kwaajili ya kujifunza na kuona uwekezaji uliowekwa na Serikali leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akiwaonesha moja ya chumba cha VIP viongozi kutoka Wizara ya Afya na wengine kutoka Taasisi ya Bima ya Afya ya nchini Gambia walipotembelea taasisi hiyo kwaajili ya kujifunza na kuona uwekezaji uliowekw...

Wataalamu wa JKCI wapigwa msasa matibabu ya moyo

Image
Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu kutoka Shirika la Open Heart International (OHI) la nchini Australia Jayme Bennetts akielezea namna wagonjwa wa upasuaji wa moyo wanatakiwa kuhudumiwa wakati wa mafunzo ya siku moja yanayofanyika leo kwa wataalamu wa OHI na wenzao wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mfamasia wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sunday Mwera akielezea dawa ambazo wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa moyo wanapatiwa leo wakati wa mafunzo ya siku moja yanayofanyika kwa wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wenzao kutoka Shirika la Open Heart International (OHI) la nchini Australia. Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akichangia mada leo wakati wa mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo wataalamu wa JKCI pamoja na wenzao kutoka Shirika la Open Heart International (OHI) la nchini Australia. Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasi...

Bodi ya wadhamini yaipongeza JKCI kwa mafanikio

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo Asha Izina wakati wa kikao cha mwisho cha Bodi hiyo kilichofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi hiyo Balozi Mwanaidi Maajar wakati wa kikao cha mwisho cha Bodi hiyo kilichofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Izina akimkabidhi tuzo aliyekuwa mjumbe wa bodi hiyo CPA Godfrey Kilenga wakati wa kikao cha mwisho cha Bodi hiyo kilichofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Izina akimpa mkono wa pongezi aliyekuwa mjumbe wa b...