Mtoto mchanga afanyiwa upasuaji wa moyo JKCI

 

Wataalamu wa upasuaji wa moyo kwa watoto  kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao kutoka nchini Ujerumani Benjamin  Bierbach wakimfanyia upasuaji wa kufungua kifua mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja na wiki tatu ambaye amezaliwa na shida ya valvu moja ya moyo haijafunguka na chumba kimoja cha moyo hakijajitengeneza (hakikuumbika vizuri). Upasuaji huo umefanyika katika kambi maalum ya siku tano ya upasuaji wa moyo ambapo watoto 20 wanatarajiwa kutibiwa.

Picha na Khamisi Mussa

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa