Wanachama wa kikundi cha Women Supporting Women watoa msaada kwa watoto

Wanachama wa kikundi cha kusaidiana kiuchumi cha Women Supporting Women wakimkabidhi zawadi mama ambaye mtoto wake amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo Yusra Kanyerere wakati wanachama wa kikundi hicho walipowatembelea watoto hao na kuwapa zawadi


Wanachama wa kikundi cha kusaidiana kiuchumi cha Women Supporting Women wakimkabidhi zawadi mama ambaye mtoto wake amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo Dinna Mrindi wakati wanachama wa kikundi hicho walipowatembelea watoto hao na kuwapa zawadi 

Mwenyekiti wa kikundi cha kusaidiana kiuchumi cha Women Supporting Women Ena Mwangama akimkabidhi simamizi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo Grace Sanga zawadi zilizotolewa na wanakikundi hao kwa ajili ya watoto wenye magonjwa ya moyo waliolazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) 


 Mwananchama wa Kikundi cha kusaidiana kiuchumi cha Women Supporting Women Jacqueline Nshunju akimpatia zawadi mama ambaye mtoto wake amelazwa katika wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wakati wanakikundi wa chama hicho walipowatembelea watoto hao kwa ajili ya kuwapatia zawadi

Picha na: Khamis Mussa

**********************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Maabara ya JKCI yapata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012)