JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Izina akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha kuhusu wataalamu wa Taasisi hiyo na wenzao wa hospitali ya AICC Arusha kutoa huduma za ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi za umma watakaoshiriki kikao kazi kitakachofanyika jijini humo. Kikao kazi hicho cha siku tatu kimeandaliwa na ofisi ya Msajili wa Hazina. Mkurugenzi wa Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha kuhusu wataalamu wa Taasisi hiyo na wenzao wa hospitali ya AICC Arusha kutoa huduma za ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi za umma watakaoshiriki kikao kazi kitakachofanyika jijini humo. Kikao kazi hicho cha siku tatu kimeandaliwa na ofisi ya Msajili wa Hazina. Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Arusha Dkt. Ezekiel Moirana akizungumza na w...
Comments
Post a Comment