Wafanyakazi wa JKCI waungana na wafanyakazi wengine nchini kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpatia zawadi ya kumpongeza mfanyakazi bora wa mwaka 2024 kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Yeyeye wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika jana kitaifa katika viwanja vya Shekh Amir Abed vilivyopo jijini Arusha.



Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiandamana wakati wa maandamano ya kuadhimisha siku ya mfanyakazi duniani yaliyofanyika kitaifa jana katika viwanja vya Shekh Amri Abed vilivyopo jijini Arusha. 

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa na bando lenye kauli mbiu ya kujikinga na magonjwa ya moyo baada ya kushiriki maandamano wakati wa maadhimisho ya siku ya mfanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa jana katika viwanja vya Shekh Amri Abed vilivyopo jijini Arusha.

Picha na: JKCI

****************************************************************************************************************************


 

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Maabara ya JKCI yapata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012)