Wafundishwa jinsi ya kufanya kipimo cha ECHO

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Engerasia Kifai akiwafundisha wataalamu kutoka Hospitali mbalimbali namna ya kufanya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) wakati wa mafunzo ya wiki mbili kwa wataalamu hao. Jumla ya wataalamu 40 kutoka Hospitali mbalimbali nchini na mmoja kutoka nchini Kenya wanashiriki mafunzo hayo.

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Johnstone Kayandabila akiwafundisha wataalamu kutoka Hospitali mbalimbali namna ya kufanya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) wakati wa mafunzo ya wiki mbili yanayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wataalamu 40 kutoka Hospitali mbalimbali nchini na mmoja kutoka nchini Kenya wanashiriki mafunzo hayo.

Mhadhiri mwandamizi Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Pilly Chillo akiwafundisha wataalamu kutoka Hospitali mbalimbali nchini namna ya kufanya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) wakati wa mafunzo ya wiki mbili yanayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Jumla ya wataalamu 40 kutoka Hospitali mbalimbali nchini na mmoja kutoka nchini Kenya wanashiriki mafunzo hayo.


Picha na: JKCI

*************************************************************************************************
















 

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Maabara ya JKCI yapata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012)