Wauguzi wapigwa msasa wa jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi
Mkufunzi wa mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura
na mahututi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Afisa Muuguzi Kiasha Mclnnis
akiwafundisha wauguzi wa taasisi hiyo jinsi ya kuwahudumia wagonjwa hao.
Afisa Muuguzi wa Chumba cha Wagonjwa wanaohitaji Uangalizi Maalumu (ICU) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Lucy Kabeya akiwafundisha wauguzi wa Taasisi hiyo namna ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi.
Maafisa Uuuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi yaliyofanyika hivi karibuni katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment