Wafanyakazi wa JKCI waadhimisha siku ya wafanyakazi duniani
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kwenda kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu "Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha" yaliyofanyika kitaifa Mkoani Arusha.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika jana kimkoa katika Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu "Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha" yaliyofanyika kitaifa Mkoani Arusha.
Comments
Post a Comment