Dkt. Kisenge afanya kikao na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake na madaktari hao kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi hiyo wakiwemo wagonjwa na kuangalia namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi


Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Yona Gandye akizungumza wakati wa kikao cha madaktari hao na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi hiyo wakiwemo wagonjwa na kuangalia namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi


Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Honoratha Maucky akizungumza wakati wa kikao cha madaktari hao na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi hiyo wakiwemo wagonjwa na kuangalia namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Daktari wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Amanda Anyoti akizungumza wakati wa kikao cha madaktari hao na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi hiyo wakiwemo wagonjwa na kuangalia namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi


 Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge wakati wa kikao cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi hiyo wakiwemo wagonjwa na kuangalia namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi

 Picha na: Khamis Mussa

*************************************************************************************

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini