Dkt.Kisenge akutana na wauguzi kujua changamoto zao za kazi
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Martha Emmanuel akielezea namna ambavyo wauguzi wa chumba cha upasuaji mdogo wa moyo wanavyotekeleza majukumu yao wakati wa kikao na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI kujadili mambo mbalimbali yatakayoboresha huduma za matibabu kwa wagonjwa wanaotibiwa JKCI leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salam
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Eben Ngowi
akielezea huduma zinazotolewa kwa wagonjwa waliolazwa wodini wakati wa kikao na
Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI kujadili mambo mbalimbali yatakayoboresha huduma za
matibabu kwa wagonjwa wanaotibiwa JKCI leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo
Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
wakisikiliza taarifa zilizokuwa zinatolewa wakati wa kikao na Mkurugenzi
Mtendaji wa JKCI kujadili mambo mbalimbali yatakayoboresha huduma za matibabu kwa wagonjwa wanaotibiwa JKCI leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo Jijini
Dar es Salaam
Picha na: JKCI
******************************************************************************************
Comments
Post a Comment