Dkt. Kisenge afanya kikao na wafanyakazi mwega (non-medical staff) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi mwega (non-medical staff) wa Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake na wafanyakazi hao cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa JKCI wakiwemo wagonjwa na jinsi ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Afisa Utumishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Kelvin Manyanga akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi mwega (non-medical staff) wa Taasisi hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge leo jijini Dar es Salaam cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa JKCI wakiwemo wagonjwa na jinsi ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Sembe akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi mwega (non-medical staff) wa Taasisi hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge leo jijini Dar es Salaam cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa JKCI wakiwemo wagonjwa na jinsi ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Wafanyakazi mwega (non-medical staff) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge wakati wa kikao cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi hiyo wakiwemo wagonjwa na kuangalia namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) CPA Ashura Ally akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi mwega (non-medical staff) wa Taasisi hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge leo jijini Dar es Salaam cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa JKCI wakiwemo wagonjwa na kuangalia namna ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Picha na Khamis Mussa
Comments
Post a Comment