Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bruce Mwile wakisaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya JKCI na Benki ya CRDB leo wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba huo iliyofanyika katika ukumbi wa JKCI jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bruce Mwile wakibadilishana mkataba wa makubaliano ya ushirikiano baina ya JKCI na Benki ya CRDB leo wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba huo iliyofanyika katika ukumbi wa JKCI jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bruce Mwile wakimjulia hali mtoto aliyelazwa katika wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo kabla ya hafla fupi ya kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano bain...
Comments
Post a Comment