Dkt. Kisenge afanya kikao na viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Dkt. Peter Kisenge akiwaonesha viongozi wa Taasisi hiyo kitabu cha mpango
mkakati wa mwaka 2022/23 – 2026/27 wa Taasisi katika kikao chake na viongozi
hao cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa ndani na wa
nje ya JKCI
Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) CPA Agnes Kuhenga akifafanua jambo wakati wa kikao cha viongozi WA
Taasisi hiyo cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Robert Malya akielezea jinsi ambavyo idara hiyo inafanya kazi ya
kuwahudumia wagonjwa wakati wa kikao cha viongozi na Mkurugenzi Mtendaji wa
JKCI Dkt. Peter Kisenge cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa
wateja wa Taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akizungumza wakati wa kikao cha viongozi wa Taasisi
hiyo cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa ndani na wa
nje ya JKCI
Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge wakati wa kikao
cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa ndani na wa nje wa
Taasisi hiyo
Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge wakati wa kikao
cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi hiyo kilichofanyika
Jana Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Tiba ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Dkt. Tatizo Waane akizungumza
wakati wa kikao cha viongozi na Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter
Kisenge cha kujadili namna ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wateja wa Taasisi
hiyo.
Msimamizi wa wodi namba moja wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Afisa Muuguzi Paulo Josephat akielezea huduma zinazotolewa kwa
wagonjwa waliolazwa wodi hiyo wakati wa kikao cha viongozi na Mkurugenzi
Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge kujadili namna ya kuboresha utoaji wa
huduma kwa wateja.
Picha na: Khamis Mussa
*****************************************************************************************************
Comments
Post a Comment