Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge, Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Mwaipopo wala kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Christopher Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo pamoja na Wakuu mbalimbali wa Taasisi akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wa kwanza mstari wa pili kushoto wakila kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22, Oktoba 2022.
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Christopher Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo pamoja na Wakuu mbalimbali wa Taasisi akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wa kwanza mstari wa pili kushoto wakisaini kiapo chao cha Maadili ya Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22, Oktoba 2022.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Christopher Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo na Wakuu mbalimbali wa Taasisi akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wa kwanza mstari wa pili kushoto kwenye hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22, Oktoba 2022.
Comments
Post a Comment