Wakuu wa Taasisi za afya zinazotoa huduma bingwa bobezi wakutana kuboresha ushirikiano na masuala ya tafiti



Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akichangia mada wakati wa kikao cha wakuu wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),  Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)  kuimarisha ushirikiano na kuboresha utoaji wa huduma kilichofanyika jana katika Ukumbi wa MUHAS jijini Dar es Salaam.


Wakurugenzi Watendaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. Delilah Kimambo, Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Balozi Ulisubisya Mpoki, Mwakilishi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI)  Dkt. Nazima Dharsee, na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao cha ujirani mwema kuimarisha ushirikiano na kuboresha utoaji wa huduma kilichofanyika jana katika Ukumbi wa MUHAS jijini Dar es Salaam.


Wakurugenzi Watendaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. Delilah Kimambo, Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Balozi Ulisubisya Mpoki, Mwakilishi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI)  Dkt. Nazima Dharsee, na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa JKCI mara baada ya kumalizika kwa kikao cha ujirani mwema kuimarisha ushirikiano na kuboresha utoaji wa huduma kilichofanyika jana katika Ukumbi wa MUHAS iliyopo jijini Dar es Salaam.


Picha na JKCI

*******************************************************************************************************************************************


Comments

Popular posts from this blog

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi