Mkutano wa kushirikiana kitaaluma na kitafiti za afya wafanyika Poland



Wageni kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS), Chuo Kikuu cha Rwanda na Chuo Kikuu cha Wanawake cha Ahfad Kilichopo nchini Sudani wakiwa katika mkutano wa wiki moja na viongozi wa Chuo Kikuu cha Jagiellonian cha nchini Poland kujadili namna ya kushirikiana kitaalum na kitafiti katika masuala ya afya.




Wageni kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS), Chuo Kikuu cha Rwanda na Chuo Kikuu cha Wanawake cha Ahfad Kilichopo nchini Sudani wakitembelea maeneo mbalimbali ya Chuo Kikuu cha Jagiellonian cha nchini Poland wakati wa mkutano wa kujadili namna ya kushirikiana baina yao kitaaluma na kitafiti katika masuala ya afya

*************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa