JKCI kwenda kutoa matibabu ya moyo nchini Malawi


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wataalam wa afya wa JKCI wanaokwenda nchini Malawi katika Hospitali ya Queen Elizabeth kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu na uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa Malawi wakati akiwaaga ofisini kwake kabla ya kuanza safari yao kesho.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa afya wa JKCI wanaokwenda nchini Malawi katika Hospitali ya Queen Elizabeth kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu na uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa wananchi wa Malawi wakati akiwaaga ofisini kwake kabla ya kuanza safari yao kesho.

Picha na: JKCI

************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma