Manyara waendelea kupatiwa huduma za matibabu ya moyo


Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ansila Makoi akimpima shinikizo la damu mkazi wa Manyara Tatu Isango aliyefika katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara (MRRH) kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano inayofanywa na wataalam wa afya wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa MRRH

Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Magreth Ng’ondya akimsikiliza mkazi wa Manyara Liberan Assey aliyefika katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara (MRRH) kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano inayofanywa na wataalam wa afya wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa MRRH

Afisa Lishe wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Husna Faraji akimsikiliza mkazi wa Manyara Bausi Nuru aliyekuwa anauliza swali kuhusu lishe bora wakati wa kambi maalum ya siku tano inayofanywa na wataalam wa afya wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa MRRH

Mtafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zabella Mkojera akimuuliza maswali ya ufahamu kuhusu magonjwa yasiyo yakuambukiza yakiwemo magonjwa ya moyo mkazi wa Manyara wakati wa kambi maalum ya siku tano inayofanywa na wataalam wa afya wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa MRRH

Picha na: JKCI

**************************************************************************************************

 

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Maabara ya JKCI yapata ithibati ya kimataifa (ISO 15189:2012)