Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) waadhimisha siku ya wafanyakazi duniani



Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani leo katika Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Mishahara bora na ajira za staha ni nguzo kwa maendeleo ya wafanyakazi, wakati ni sasa” yamefanyika kitaifa Mkoani Morogoro



Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani leo katika Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Mishahara bora na ajira za staha ni nguzo kwa maendeleo ya wafanyakazi, wakati ni sasa” yamefanyika kitaifa Mkoani Morogoro.

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa