Kambi ya upasuaji wa moyo kwa watoto yaanza JKCI

Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakitanua Valvu ya moyo wa mtoto ambayo ilikuwa haipitishi damu vizuri wakati wa kambi maalum ya siku tano ya upasuaji wa moyo inayofanyika katika Taasisi hiyo.         

 Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mtoto kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography) mara baada ya kumaliza kutanua Valvu ya moyo ambayo ilikuwa haipitishi damu vizuri wakati wa  kambi maalum ya siku tano ya upasuaji wa moyo inayofanyika katika Taasisi hiyo.


Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo  kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakifanya upasuaji wa kuziba matundu mawili ya moyo wa mtoto wakati wa kambi maalum ya siku tano ya upasuaji wa moyo inayofanyika katika Taasisi hiyo.

 Picha na Hamisi Mussa







 

Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari