Wafanyakazi wa JKCI wafanya mazoezi kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza



Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Cricket wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuanza kwa mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 5 ikiwa ni kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. 


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Cricket wakifanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 5 wakati wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. 
 

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Cricket wakiwaongoza Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club kufanya mazoezi ya mbio za taratibu (Jogging) za umbali wa Km. 5 wakati wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. 

Picha na: Khamis Mussa

********************************************************************************************************************************


Comments

Popular posts from this blog

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma