JKCI yawapongeza wafanyakazi hodari na kuwaaga wastaafu

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi hundi ya shilingi milioni tisa laki nane na elfu tisini na tano mstaafu katika Taasisi hiyo ambaye alikuwa Mhudumu wa Afya Peter John wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi ngao mfanyakazi hodari wa mwaka wa fedha 2022/2023 Afisa Uuguzi Jumaa Tao wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi Cheti mfanyakazi hodari robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya kwanza Mhasibu Adam Sembe wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi Cheti mfanyakazi hodari robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya pili Afisa Tehama Fiona Kavishe wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi Cheti mfanyakazi hodari robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya tatu Afisa Rasilimali Watu Umul-kher Seiff wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akimkabidhi Cheti mfanyakazi hodari robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 aliyeshika nafasi ya tatu Mfamasia Miraji Dhahiri wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Aliyekuwa Mhudumu wa Afya katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete na kustaafu hivi karibuni Peter John akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo na baadhi ya viongozi wa Menejimenti wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi hodari wa robo ya tatu na robo ya nne ya mwaka wa fedha 2022/2023 wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wastaafu na kuwapongeza wafanyakazi hodari iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Picha na: JKCI

********************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari