JKCI kushirikiana na chuo kikuu cha Jagiellonian cha nchini Poland katika masuala ya afya







Viongozi wa Chuo Kikuu cha Jagiellonian cha nchini Poland wakiwakaribisha wageni kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) Chuo kikuu cha  Rwanda na Chuo kikuu cha Wanawake cha Ahfad kilichopo nchini Sudani kwaajili ya maandalizi ya mkutano wa wiki moja baina yao wa kujadili namna ya kushirikiana kitaaluma na kitafiti katika masuala ya Afya.

*****************************************************************************************************************************

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa