JKCI yanunua mashine za kisasa za ECHO zenye thamani ya shilingi 596,521,800


Mtaalam wa kufanya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram - ECHO) kutoka Kampuni ya Mindray iliyopo nchini China akiwafundisha wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) namna ya kutumia mashine mpya ya kisasa ya kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram - ECHO) wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyofanyika katika Taasisi hiyo. JKCI imenunua mashine tatu za kisasa za Echo zenye thamani ya shilingi 596,521,800 kwaajili ya kuboresha huduma za matibabu ya moyo kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo.


 Wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijadiliana na mtaalam wa kufanya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram - ECHO) kutoka Kampuni ya Mindray iliyopo nchini China wakati wa mafunzo ya siku mbili ya kutumia mashine mpya ya kisasa ya kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram - ECHO) yaliyofanyika katika Taasisi hiyo. JKCI imenunua mashine tatu za kisasa za Echo zenye thamani ya shilingi 596,521,800 kwaajili ya kuboresha huduma za matibabu ya moyo kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo.

Picha na: JKCI

*************************************************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa