Wateja wa NMB Kadi za Premium kutibiwa JKCI VIP kliniki Oyster bay na Kawe
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna wakisaini mkataba wa ushirikiano wa kuwezesha upatikanaji wa taarifa na huduma za afya kwa watoto wenye maradhi ya moyo unaofanywa na taasisi hizo leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akibadilishana mkataba wa ushirikiano wa kuwezesha upatikanaji wa taarifa na huduma za afya kwa watoto wenye maradhi ya moyo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna leo wakati taasisi hizo ziliposaini mkataba huo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna wakionesha mkataba wa ushirikiano wa kuwezesha upatikanaji wa taarifa na huduma za afya kwa watoto wenye maradhi ya moyo uliosainiwa na taasisi hizo leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ...