Atakayebainika kuomba au kupokea rushwa kwa wagonjwa atachukuliwa hatua kali za kinidhamu
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi cha kujadili utendaji kazi kwa mwaka 2021 kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Utawala na Rasilimali watu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ghati Chacha akielezea mafanikio na changamoto za Kurugenzi hiyo wakati wa kikao cha wafanyakazi cha kujadili utendaji kazi kwa mwaka 2021 kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia majadiliano yaliyokuwa yanaendelea wakati wa kikao cha wafanyakazi cha kujadili utendaji kazi kwa mwaka 2021 kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Idara ya watoto wenye magonjwa ya moyo na Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya kikwete (JKCI) Sulende Kubhoja akitoa maoni yake wakati wa kikao cha wafanyakazi cha kujadili utendaji kazi...